Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (wapili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi na Mwakilishi
wa Kudumu wa Tanzania, nchini Uswisi, Maimuna Tarishi (wapili kulia), Balozi na
Naibu Mwakilishi wa Kudumu nchini humo, Hoyce Temu (kushoto) na Mkurugenzi wa
Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi, nje ya Ukumbi wa Mikutano wa
Umoja wa Mataifa, jijini Geneva.